18 Zab 3:7Kisha akaona kiu sana, akamwita BWANA akasema, Wewe umetupa wokovu huu kwa mkono wa mtumishi wako; na sasa nitakufa kwa kiu, na kuanguka katika mikono ya watu wasiotahiriwa. 19 Mwa 45:27;Isa 40:29;57:15Lakini Mungu akapasua mahali penye shimo palipo katika Lehi, pakatoka maji; naye alipokunywa, roho yake ikamrudia, akaburudika; kwa hiyo jina la mahali pale likaitwa Enhakore,15:19 Enhakore: maana yake ni Kijicho cha mwombaji. napo pa katika Lehi hata hivi leo.
Waamuzi 15:18,19
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
18 Kwa kuwa alihisi kiu sana, akamlilia Mwenyezi Mungu, akisema, "Umempa mtumishi wako ushindi huu mkuu. Je, sasa nife kwa kiu na kuangukia mikononi mwa hawa watu wasiotahiriwa?" 19 Ndipo Mungu akafunua shimo huko Lehi, na maji yakatoka. Samsoni alipoyanywa maji hayo, nguvu zikamrudia, akahuika. Hivyo chemchemi ile ikaitwa En-Hakore15:19 maana yake Chemchemi ya Aliyeita, nayo iko hadi leo huko Lehi.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
18 Kwa kuwa alikuwa amesikia kiu sana, akamlilia Bwana akisema, "Umempa mtumishi wako ushindi huu mkuu. Je, sasa nife kwa kiu na kuangukia mikononi mwa hawa watu wasiotahiriwa?" 19 Bwana akafunua shimo huko Lehi, pakatoka maji. Samsoni alipoyanywa, nguvu zikamrudia na kuhuika. Hivyo chemchemi ile ikaitwa En-Hakore,15:19 En-Hakore maana yake ni Chemchemi ya Aliyeita. nayo iko mpaka leo huko Lehi.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.