2 Kum 8:17;9:4;32:27;1 Sam 17:47;Zab 33:16-18;44:6,7;Mit 25:6;Mhu 9:11;Isa 10:13;Yer 9:23,24;Zek 4:6;Rum 3:27;1 Kor 1:29;4:7;2 Kor 4:7;10:17;Efe 2:9BWANA akamwambia Gideoni, Watu hawa walio pamoja nawe ni wengi mno kwangu kuwatia Wamidiani katika mikono yao, wasije Israeli wakajivuna juu yangu wakisema, Mkono wangu mwenyewe ndio ulioniokoa.