34 Mariamu akamwambia malaika, Litakuwaje neno hili, maana sijui mume? 35 Kut 13:12;Mt 1:18,20Malaika akajibu akamwambia, Roho Mtakatifu atakujia juu yako, na nguvu zake Aliye Juu zitakufunika kama kivuli; kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu, Mwana wa Mungu.
Publicidade