Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 1:42,43

SRUV Swahili Revised Union Version

42 Kum 28:9;Amu 5:24akapaza sauti kwa nguvu akasema, Umebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa. 43 Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijie mimi?

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    42 akapaza sauti kwa nguvu, akasema, "Umebarikiwa wewe miongoni mwa wanawake, naye mtoto utakayemzaa amebarikiwa. 43 Lakini ni kwa nini mimi nimepata kibali kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    42 akapaza sauti kwa nguvu akasema, "Umebarikiwa wewe miongoni mwa wanawake, naye mtoto utakayemzaa amebarikiwa. 43 Lakini ni kwa nini mimi nimepata upendeleo kiasi hiki, hata mama wa Bwana wangu afike kwangu?

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.