29 Ninyi msitafute mtakavyokula wala mtakavyokunywa; wala msiwe na wasiwasi, 30 kwa maana, hayo yote ndiyo watafutayo mataifa ya duniani, lakini Baba yenu anajua ya kuwa mna haja na hayo. 31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na hayo mtaongezewa.