Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 13

Mfano wa punje ya haradali

18 Mt 13:31-33;Mk 4:30-32Kisha alisema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Nami niufananishe na nini? 19 Dan 4:12,21;Eze 17:23;31:6Umefanana na punje ya haradali aliyotwaa mtu akaitupa katika shamba lake; ikamea, ikawa mti; ndege wa angani wakakaa katika matawi yake.

Veja também