Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 14

26 Mt 10:37,38Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wa kiume na wa kike; naam, na hata nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. Mt 10:37;Kum 33:9,10;Lk 18:29,30;Yn 12:25

Veja também