Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 17

14 Law 13:49;14:1-32;Lk 5:14Alipowaona aliwaambia, Nendeni, mkajioneshe kwa makuhani. Ikawa walipokuwa wakienda walitakasika. 15 Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; 16 akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria. 17 Yesu akajibu, akanena, Hawakutakaswa wote kumi? Wale tisa wako wapi? 18 Je! Hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni huyu? 19 Lk 7:50Akamwambia, Inuka, nenda zako, imani yako imekuokoa.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também