Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 2

4 Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Yudea mpaka katika mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa ukoo na jamaa ya Daudi; 5 Lk 1:27ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também