17 Mt 10:21,22Nanyi mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu. 18 Lk 12:7;1 Sam 14:45Lakini hautapotea hata unywele mmoja wa vichwa vyenu. 19 2 Nya 15:7;Ebr 10:36Nanyi kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu.