Kupaa kwa Yesu
50 Mdo 1:9-11Akawaongoza mpaka Bethania, akainua mikono yake akawabariki. 51 Ikawa katika kuwabariki, alijitenga nao; akachukuliwa juu mbinguni.