6 Mt 16:21;17:22-23;20:18-19;Mk 8:31;9:31;10:33-34;Lk 9:22;18:31-33Hayupo hapa, amefufuka. Kumbukeni alivyosema nanyi alipokuwa bado yuko Galilaya, 7 akisema, Imempasa Mwana wa Adamu kutiwa mikononi mwa wenye dhambi, na kusulubiwa, na kufufuka siku ya tatu.
Publicidade