11 Akawajibu akiwaambia, Mwenye kanzu mbili na ampe asiye na kanzu; na mwenye vyakula na afanye vivyo hivyo. 13 Akawaambia, Msitoze kitu zaidi kuliko mlivyoamriwa. 14 Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtosheke na mishahara yenu.
Publicidade
Luka 3:11,13,14
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
11 Yahya akawaambia, "Aliye na kanzu mbili amgawie asiye nayo, naye aliye na chakula na afanye vivyo hivyo."
13 Akawaambia, "Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa."
14 Askari nao wakamuuliza, "Je, nasi inatupasa tufanye nini?"
Akawaambia, "Msimdhulumu mtu wala msimshtaki mtu kwa uongo, bali mridhike na mishahara yenu."
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
11 Yohana akawaambia, "Aliye na kanzu mbili amgawie asiye nayo, naye aliye na chakula na afanye vivyo hivyo."
13 Akawaambia, "Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa."
14 Askari nao wakamuuliza, "Je, nasi inatupasa tufanye nini?"
Akawaambia, "Msimdhulumu mtu wala msimshtaki mtu kwa uongo, bali mridhike na mishahara yenu."
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.