Kukataliwa kwa Yesu huko Nazareti
16 Mt 13:53-58;Mk 6:1-6Akaenda Nazareti, hapo alipolelewa; na siku ya sabato akaingia katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake, akasimama ili asome. 17 Isa 61:1,2;58:6Akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua kitabu, akapata mahali palipoandikwa,
20 Akakifunga kitabu, akamrudishia mtumishi, akaketi; na watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho.