Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 4

Uponyaji nyumbani mwa Simoni

38 Mt 8:14-17;Mk 1:29-39Akatoka katika sinagogi, akaingia katika nyumba ya Simoni. Naye mkwewe Simoni, mamaye mkewe, alikuwa ameshikwa na homa kali, wakamwomba kwa ajili yake. 39 Akasimama karibu naye, akaikemea ile homa, ikamwacha; mara hiyo akainuka, akawatumikia.

Veja também