Pular para o conteúdo
Publicidade

Luka 5:10

SRUV Swahili Revised Union Version

10 Mt 13:47na kadhalika Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, waliokuwa washirika wa Simoni. Yesu akamwambia Simoni, Usiogope, tangu sasa utakuwa ukivua watu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    10 Vivyo hivyo wenzake Simoni, yaani Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, walishangazwa pia.

    Ndipo Isa akamwambia Simoni, "Usiogope, tangu sasa utakuwa mvuvi wa watu."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    10 Vivyo hivyo wenzake Simoni, yaani Yakobo na Yohana, wana wa Zebedayo, walishangazwa pia.

    Ndipo Yesu akamwambia Simoni, "Usiogope, tangu sasa utakuwa mvuvi wa watu."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.