Yesu amwita Lawi
27 Mt 9:9-13;Mk 2:13-17Baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake Lawi, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate. 28 Akaacha vyote, akaondoka, akamfuata.
27 Mt 9:9-13;Mk 2:13-17Baada ya hayo akatoka, akaona mtoza ushuru, jina lake Lawi, ameketi forodhani, akamwambia, Nifuate. 28 Akaacha vyote, akaondoka, akamfuata.
27 Baada ya haya, Isa alitoka na kumwona mtoza ushuru mmoja jina lake Lawi akiwa amekaa forodhani, mahali pake pa kutoza ushuru. Akamwambia, "Nifuate." 28 Naye Lawi akaacha kila kitu, akaondoka, akamfuata.
27 Baada ya haya, Yesu alitoka na kumwona mtoza ushuru mmoja jina lake Lawi akiwa amekaa forodhani, mahali pake pa kutoza ushuru. Akamwambia, "Nifuate." 28 Naye Lawi akaacha kila kitu, akaondoka, akamfuata.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.