Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 8

2 Mt 27:55-56;Mk 15:40-41;16:9;Lk 23:49na wanawake kadhaa ambao walikuwa na pepo wabaya na magonjwa wakaponywa; nao ni Mariamu aitwaye Magdalene aliyetokwa na pepo saba, 3 na Yoana mkewe Kuza, wakili wake Herode, na Susana, na wengine wengi, waliokuwa wakimhudumia kwa mali zao.

Veja também