Kutumwa kwa wale kumi na wawili
1 Mt 10:1,7,9-14;Mk 6:7-13Akawaita wale Kumi na Wawili, akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi. 2 Akawatuma wautangaze ufalme wa Mungu, na kuponya wagonjwa.