Kujaribiwa kwa Yesu
12 Mt 4:1-11;Lk 4:1-13Mara Roho akamtoa aende nyikani. 13 Zab 91:13;Yn 1:51Akawako huko jangwani siku arubaini, hali akijaribiwa na Shetani; naye alikuwa pamoja na wanyama wa mwituni, na malaika walikuwa wakimhudumia.

12 Wakati huo huo, Roho wa Mungu akamwongoza Isa hadi nyikani, 13 naye Isa akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama pori, nao malaika wakamhudumia.
12 Wakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani, 13 naye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.