Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 1

Yesu awaita wanafunzi wa kwanza

16 Mt 4:18-22;Lk 5:1-11Naye alipokuwa akipita kando ya bahari ya Galilaya, akamwona Simoni na Andrea nduguye, wakitupa jarife baharini; kwa maana walikuwa wavuvi. 17 Mt 13:47Yesu akawaambia, Njooni mnifuate, nami nitawafanya kuwa wavuvi wa watu. 18 Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também