Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 1

23 Na mara palikuwapo ndani ya sinagogi lao mtu mwenye pepo mchafu; akapaza sauti, 24 Mk 5:7;Zab 16:10akisema, Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je! Umekuja kutuangamiza? 25 Nakutambua u nani, Mtakatifu wa Mungu. Yesu akamkemea, akisema, Fumba kinywa, umtoke. 26 Mk 9:26Yule pepo mchafu akamtia kifafa, akalia kwa sauti kuu, akamtoka.

Veja também