Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 10:47,51

SRUV Swahili Revised Union Version

47 Naye aliposikia ya kwamba ni Yesu Mnazareti, alianza kupaza sauti yake, na kusema, Mwana wa Daudi, Yesu, unirehemu. 51 Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    47 Aliposikia kuwa ni Isa Al-Nasiri aliyekuwa anapita, akaanza kupaza sauti akisema, "Isa, Mwana wa Daudi10:47 Ina maana kwamba Isa ni mrithi wa kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu (Zaburi 89:3-4)., nihurumie!"

    51 Isa akamuuliza, "Unataka nikufanyie nini?"

    Yule kipofu akajibu, "Mwalimu, nataka kuona."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    47 Aliposikia kuwa ni Yesu wa Nazareti aliyekuwa anapita, akaanza kupaza sauti akisema, "Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!"

    51 Yesu akamuuliza, "Unataka nikufanyie nini?"

    Yule kipofu akajibu, "Mwalimu, nataka kuona."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.