Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 15:11-13

SRUV Swahili Revised Union Version

11 Lakini wakuu wa makuhani wakawachochea watu, kuwa afadhali awafungulie Baraba. 12 Pilato akajibu tena akawaambia, Basi nimtendeje huyu mnayemnena kuwa ni mfalme wa Wayahudi? 13 Wakapiga kelele tena, Msulubishe.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    11 Lakini viongozi wa makuhani wakachochea umati ule wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake.

    12 Pilato akawauliza tena, "Basi mnataka nifanye nini na huyu mtu mnayemwita mfalme wa Wayahudi?"

    13 Wakapiga kelele, wakisema, "Msulubishe!"

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    11 Lakini viongozi wa makuhani wakauchochea ule umati wa watu wamwombe awafungulie Baraba badala yake.

    12 Pilato akawauliza tena, "Basi mnataka nifanye nini na huyu mtu mnayemwita Mfalme wa Wayahudi?"

    13 Wakapiga kelele wakisema, "Msulubishe!"

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.