Kifo cha Yesu
33 Amo 8:9Na ilipokuwa saa sita, palikuwa na giza juu ya nchi yote, hadi saa tisa. 34 Zab 22:1Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?