Pular para o conteúdo
Publicidade

Marko 15

Kuzikwa kwa Yesu

42 Mt 27:57-61;Lk 23:50-55;Yn 19:38-42Ilipofika wakati wa jioni, kwa sababu ni Maandalio, ndiyo siku iliyo kabla ya sabato, 43 akaenda Yusufu, mtu wa Arimathaya, mstahiki, mtu wa baraza ya mashauri, naye mwenyewe anautazamia ufalme wa Mungu; akafanya ujasiri, akaingia mbele ya Pilato akauomba mwili wake Yesu.

Veja também