17 Mdo 16:18;2:4,11;10:46Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; 18 Lk 10:19;Mdo 28:3-6;Yak 5:14,15watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kuua, hakitawadhuru kamwe; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapona.
Publicidade