Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 3

28 Amin, nawaambia, Dhambi zote watasamehewa wanadamu, na kufuru zao watakazokufuru zote; 29 Lk 12:10bali mtu atakayemkufuru Roho Mtakatifu hana msamaha hata milele; ila atakuwa ana dhambi ya milele, 30 Mk 3:22kwa vile walivyosema, Ana pepo mchafu.

Veja também