Mfano wa punje ya haradali
30 Mt 13:31,32,34;Lk 13:18,19Akasema, Tuulinganishe na nini ufalme wa Mungu? Au tuutie katika mfano gani? 32 Dan 4:12,21;Eze 17:23;31:6lakini ikiisha kupandwa hukua, ikawa kubwa kuliko miti yote ya mboga, ikafanya matawi makubwa; hata ndege wa angani waweza kukaa chini ya uvuli wake.