Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 5

22 Mt 9:18-26;Lk 8:41-56Akaja mtu mmoja katika wakuu wa sinagogi, jina lake Yairo; hata alipomwona, akaanguka miguuni pake, 23 Mk 7:32akimsihi sana, akisema, Binti yangu mdogo yuko karibu kufa; nakuomba uje, uweke mkono wako juu yake, apate kupona, na kuishi. 24 Akaenda pamoja naye; mkutano mkuu wakamfuata, wakimsongasonga.

Veja também