17 Lk 3:19-20Kwa maana Herode mwenyewe alikuwa ametuma watu, akamkamata Yohana, akamfunga gerezani, kwa ajili ya Herodia, mkewe Filipo, ndugu yake, kwa kuwa amemwoa; 18 Law 18:16kwa sababu Yohana alimwambia Herode, Si halali kwako kuwa na mke wa nduguyo.