Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 6

48 Akawaona wakitaabika kwa kuvuta makasia, kwa maana upepo ulikuwa unwakabili; hata ilipopata kama zamu ya nne ya usiku akawaendea, akitembea juu ya bahari; akataka kuwapita. 49 Nao walipomwona anatembea juu ya bahari, walidhani ya kuwa ni mzuka, wakapiga yowe, 50 kwa kuwa wote walimwona, wakafadhaika. Mara akasema nao, akawaambia, Changamkeni; ni mimi, msiogope. 51 Mk 4:39Akapanda mle katika mashua walimo; upepo ukakoma; wakashangaa sana mioyoni mwao;

Veja também