Pular para o conteúdo
Publicidade

Marcos 8

Yesu amponya kipofu Bethsaida

22 Mk 6:56Wakafika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse. 23 Mk 7:32,33;Yn 9:6Akamshika mkono yule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate katika macho, akamwekea mikono yake, akamwuliza, Waona kitu? 24 Akatazama juu, akasema, Naona watu kama miti, inakwenda. 25 Ndipo akaweka tena mikono yake juu ya macho yake, naye akatazama sana; akawa mzima, akaona vyote waziwazi. 26 Mk 7:36Akamwagiza aende nyumbani kwake, akisema, Hata kijijini usiingie. Petro Amkiri Yesu kuwa Kristo.

Veja também