28 Alipoingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kwa faragha, Mbona sisi hatukuweza kumtoa? 29 1 Kor 7:5Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lolote, isipokuwa kwa kuomba.9:29 Makala zingine zina ‘na kufunga’.