Mjumbe ajaye
1 Mdo 7:38;Isa 40:3;63:9;Hag 2:7;Mt 11:10;Mk 1:2;Lk 1:76;7:27Angalieni, namtuma mjumbe wangu, naye ataitengeneza njia mbele yangu; naye Bwana mnayemtafuta atalijia katika hekalu lake ghafla; naam, yule mjumbe wa agano mnayemfurahia, angalieni, anakuja, asema BWANA wa majeshi.