10 Mit 3:9;1 Nya 26:20;Mwa 7:11;Law 27:30;Hes 18:21-24;Kum 12:6;14:22-29;Neh 13:12Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Publicidade