Publicidade

Malaquias 4

Siku kuu ya Bwana

1 Kwa maana,4:1 Kwa maana, Sura ya 4:1-6 ni Sura 3:19-24 katika Kiebrania. angalieni, siku ile inakuja, inawaka kama tanuri; na watu wote wenye kiburi, nao wote watendao uovu, watakuwa makapi; na siku ile inayokuja itawateketeza, asema BWANA wa majeshi; hata haitawaachia shina wala tawi. 2 Lk 1:78;Efe 5:14;2 Pet 1:19Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawachomozea, likiwa na uwezo wa kuponya katika miale yake; nanyi mtatoka nje, na kuchezacheza kama ndama watokapo mazizini.

Veja também

Malaquias
Ver todos os capítulos de Malaquias
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-