Huruma na fadhili za Mungu
18 Kut 15:11;34:6,7;Zab 89:6-8;103:9;Isa 57:16Ni nani aliye Mungu kama wewe, mwenye kusamehe uovu, na kuliachilia kosa la watu wa urithi wake waliosalia? Hadumishi hasira yake milele, kwa maana yeye hufurahia rehema.