Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 1

Kuzaliwa kwa Yesu Kristo

18 Lk 1:27,35Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi. Mariamu mama yake alipokuwa ameposwa na Yusufu, kabla hawajakaribiana, alionekana ana mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Veja também