Publicidade

Mateus 1

22 Isa 7:14Hayo yote yamekuwa, ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akisema,

23 Isa 7:14Tazama, bikira atachukua mimba,

Naye atazaa mwana;

Nao watamwita jina lake Imanueli;

Yaani, Mungu pamoja nasi.

24 Naye Yusufu alipoamka katika usingizi, alifanya kama malaika wa Bwana alivyomwagiza; akamchukua mkewe; 25 Lk 2:21;2:7asimjue kamwe hadi alipomzaa mwanawe; akamwita jina lake YESU.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-