Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 13

Mfano wa punje ya haradali

31 Mk 4:30-32;Lk 13:18,19Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na punje ya haradali, aliyoitwaa mtu akaipanda katika shamba lake; 32 Dan 4:12,21;Eze 17:23;31:6;Zab 104:12nayo ni ndogo kuliko mbegu zote; lakini ikiisha kumea, huwa kubwa kuliko miboga yote ikawa mti, hata ndege wa angani huja na kukaa katika matawi yake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também