Pular para o conteúdo
Publicidade

Mateus 13

Mfano wa chachu

33 Lk 13:20,21Akawaambia mfano mwingine; Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyoitwaa mwanamke, akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachachwa wote pia.

Veja também