Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 14:3,4

SRUV Swahili Revised Union Version

3 Lk 3:19-20;Mt 11:2Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodia, mke wa Filipo nduguye. 4 Law 18:16;20:21Kwa sababu Yohana alimwambia, Si halali kwako kuwa naye.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    3 Herode alikuwa amemkamata Yahya, akamfunga na kumweka gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake, 4 kwa kuwa Yahya alikuwa amemwambia Herode: "Si halali kwako kuwa na huyo mwanamke."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    3 Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga na kumweka gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake, 4 kwa kuwa Yohana alikuwa amemwambia Herode: "Si halali kwako kuwa na huyo mwanamke."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.