15 Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? 16 Yn 6:68-69Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai. 17 Gal 1:15,16;Mt 17:4,5Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Baryona;16:17 maana yake ‘mwana wa Yona’. kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.
Publicidade