Ukuu wa kweli
1 Lk 22:24Saa ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakisema,Mk 9:33-47;Lk 9:46-482 Ni nani basi aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni? Akaita mtoto mmoja, akamweka katikati yao, 3 Mk 10:15;Lk 18:17;Mt 19:14;Yn 3:3-5akasema, Amin, nawaambia, Msipoongoka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Majaribu ya dhambi
4 Basi, yeyote ajinyenyekezaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni.