Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 19

Yesu awabariki watoto wadogo

13 Mk 10:13-16;Lk 18:15-17Ndipo akaletewa watoto wadogo ili aweke mikono yake juu yao na kuwaombea; wanafunzi wake wakawakemea. 14 Mt 18:2,3Lakini Yesu akasema, Waacheni watoto wadogo waje kwangu; wala msiwazuie; kwa maana walio mfano wa hao, ufalme wa mbinguni ni wao. 15 Akaweka mikono yake juu yao, akatoka huko.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também