Yusufu arudi kutoka Misri
19 Herode alipofariki, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto huko Misri, 20 Kut 4:19akasema, Inuka, umchukue mtoto na mamaye, ushike njia kwenda nchi ya Israeli; kwa maana wamekufa walioitafuta roho ya mtoto.