Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 2:4-6

SRUV Swahili Revised Union Version

4 Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi? 5 Mik 5:2;Yn 7:42Nao wakamwambia, Katika Bethlehemu ya Yudea; kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii,

6 Mik 5:1Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda,

Hu mdogo kamwe miongoni mwa watawala wa Yuda;

Kwa kuwa kwako atatoka mtawala

Atakayewachunga watu wangu Israeli.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    4 Herode akawaita pamoja viongozi wa makuhani na walimu wa Torati, akawauliza ni wapi ambapo Al-Masihi2:4 Al-Masihi maana yake Aliyetiwa mafuta. angezaliwa. 5 Nao wakamwambia, "Katika Bethlehemu ya Yudea, kwa maana hivyo ndivyo ilivyoandikwa na nabii:

    6 " ‘Nawe, Bethlehemu, katika nchi ya Yuda,

    wewe si mdogo miongoni

    mwa watawala wa Yuda;

    kwa maana kutoka kwako atakuja mtawala

    atakayekuwa mchungaji

    wa watu wangu Israeli.’ "

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    4 Herode akawaita pamoja viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, akawauliza ni mahali gani ambapo Kristo2:4 Kristo maana yake ni Masiya, yaani Aliyetiwa mafuta. angezaliwa. 5 Nao wakamwambia, "Katika Bethlehemu ya Uyahudi, kwa maana hivyo ndivyo ilivyoandikwa na nabii:

    6 " ‘Nawe, Bethlehemu, katika nchi ya Yuda,

    wewe si mdogo miongoni

    mwa watawala wa Yuda;

    kwa maana kutoka kwako atakuja mtawala

    atakayekuwa mchungaji

    wa watu wangu Israeli.’ "

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.