Pular para o conteúdo
Publicidade

Mathayo 2

5 Mik 5:2;Yn 7:42Nao wakamwambia, Katika Bethlehemu ya Yudea; kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii,

6 Mik 5:1Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda,

Hu mdogo kamwe miongoni mwa watawala wa Yuda;

Kwa kuwa kwako atatoka mtawala

Atakayewachunga watu wangu Israeli.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também