42 Zab 118:22-23;Mdo 4:11;Rum 9:33;1 Pet 2:6-8Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko,
Jiwe walilolikataa waashi,
Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni;
Neno hili limetoka kwa Bwana,
Nalo ni la ajabu machoni petu?
42 Zab 118:22-23;Mdo 4:11;Rum 9:33;1 Pet 2:6-8Yesu akawaambia, Hamkupata kusoma katika maandiko,
Jiwe walilolikataa waashi,
Hilo limekuwa jiwe kuu la pembeni;
Neno hili limetoka kwa Bwana,
Nalo ni la ajabu machoni petu?
42 Isa akawaambia, "Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba:
" ‘Jiwe walilolikataa waashi
limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Mwenyezi Mungu ndiye alitenda jambo hili,
nalo ni la kushangaza machoni petu’?
42 Yesu akawaambia, "Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba:
" ‘Jiwe walilolikataa waashi
limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Bwana ndiye alitenda jambo hili,
nalo ni la ajabu machoni petu’?
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.